Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tangu mwaka mpya, Singida hawajashinda mchezo wowote

Singida Vs Ihefu.jpeg Tangu mwaka mpya, Singida hawajashinda mchezo wowote

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tangu mwaka 2024 umeingia, Singida Fountain Gate FC haijashinda mchezo wowote wa Ligi Kuu! Katika michezo saba [7] ambayo imecheza mwaka huu, imetoka sare michezo mitatu na kupoteza michezo minne.

Michezo ya Ligi Kuu ya Singida kwa mwaka 2024;

- Singida 2-2 JKT Tanzania

- Singida 0-0 KMC FC

❌ Geita Gold 1-0 Singida

❌ Kagera Sugar 1-0 Singida

❌ Tanzania Prisons 3-1 Singida

- Tabora United 1-1 Singida

❌ Singida 0-1 Azam FC.

Mara ya mwisho Singida Fountain Gate FC kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu ilikuwa ni Novemba 27, 2023 iliposhinda 2-1 dhidi ya Coastal Union. Singida Fountain Gate FC ipo nafasi ya nane kwenye msimamo wa Ligi ikiwa na alama 21.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live