Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tammy Abraham haelewi elewi

Tammy Abraham Return Mshambuliaji wa AS Roma, Tammy Abraham

Wed, 5 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa AS Roma, Tammy Abraham amesema hata yeye mwenyewe hajui hatma yake itakuwa wapi kwa dirisha lijalo na akaeleza kwamba uwezekano wa kurejea tena Chelsea upo.

Abraham, 25, ambaye aliondoka kwenye kikosi cha Chelsea kujiunga na AS Roma chini ya Jose Mourinho miaka miwili iliyopita alisema

“Usiseme haiwezekani kwenye mpira wa miguu, kwa sasa akili yangu ipo Roma, inawezekana nikacheza Roma kwa miaka 10 ijayo ama nikaondoka huwezi jua.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live