Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu zinaibeba Simba leo Vs Namungo

Takwimu Zinaibeba Simba Leo Vs Namungo Takwimu zinaibeba Simba leo Vs Namungo

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC inashuka dimbani leo kwenye uwanja wake wa nyumbani kuwakabili Namungo FC mchezo wa raundi ya tisa ya Ligi Kuu ya NBC.

Kuelekea mchezo huo, takwimu zinaibeba zaidi Simba kuliko Namungo kwani katika michezo tisa iliyopita katika mashindano yote waliyokutana, ushindi mkubwa wa Namungo ni sare.

Namungo wamepata sare 3, wamefungwa 6 na wao hawajashinda hata mchezo mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live