Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za wafungaji, watoa asissts Yanga

Yanga Warm Up Vs Medeama Takwimu za wafungaji, watoa asissts Yanga

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga itaingia uwanjana leo hii kucheza na Ihelfu FC huku ikiendelea kumkosa kiungo wake mahili Khalidi Aucho kutokana na majeraha alioyapata katika mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Afrika.

Yanga ndiyo kinara wa Ligi Kuu ya NBC akiwa anaongoza kwa alama 46 katika michezo 17 akiyocheza akifuatiwa na Azam FC, alama 44 na michezo 20 huku Simba ikiwa na alama 39 katika michezo 17.

Simba wameruhusu mabao 17 katika michezo 17 ya Ligi.

Yanga wameruhusu mabao 9 katika michezo 17 ya Ligi.

Simba wamefunga mabao 34 katika michezo 17 ya Ligi.

Yanga wamefunga mabao 42 katika michezo 17 ya Ligi

WAFUNGAJI WA YANGA SC 2023/2024 NBC PL

01. Stephen Aziz Ki - 11

02. Max Zengeli - 8

03. Mudathir Yahya Abass -7

04. Pacome Zouzoua -6

05. Kennedy Musonda -3

06. Clement Mzize -3

07. Yao Attohoula -1

08. Dickson Job -1

09. Skudu Makudubela -1

10. Hafiz Konkoni -1

WANAO ONGOZA KWA PASI ZA MAGOLI 2023/2024

01. Yao Attohoula -7

02. Nickson Kibabage-4

03. Pacome Zouzoua - 3

04. Stephen Aziz Ki -3

05. Jesus Ducapel Moloko -3

06. Clement Mzize-3

07. Maxi Zengeli -2

08. Kennedy Musonda -1

09. Mudathir Yahya -1

10. Khalid Aucho -1

11. Bakari Nondo Mwamnyeto -1

12. Dickson Job -1

13. Kibwana Shomari -1

14. Hafiz Konkoni -1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live