Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za kibabe Ligi Kuu baada ya nusu ya kwanza kumalizika

Aziz KI Goaaaaaal Takwimu za kibabe Ligi Kuu baada ya nusu ya kwanza kumalizika

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Takwimu za ligi kuu Tanzania bara baada ya duru la pili kuanza.

Timu zenye points nyingi;

1 ◉ 43 — Young Africans

2 ◉ 36 — Azam FC

3 ◉ 36 — Simba SC

4 ◉ 23 — Coastal Union

5 ◉ 22 — KMC

Timu zilizoshinda mechi nyingi;

1 ◉ 14 — Young Africans

2 ◉ 11 — Simba SC

3 ◉ 11 — Azam FC

4 ◉ 06 — Coastal Union

5 ◉ 05 — KMC

Timu zenye magoli mengi;

1 ◉ 39 — Young Africans

2 ◉ 38 — Azam FC

3 ◉ 31 — Simba SC

4 ◉ 18 — Singida Fountain Gate

4 ◉ 17 — Tanzania Prisons

Timu zilizofungwa magoli machache

1 ◉ 08 — Young Africans

2 ◉ 11 — Coastal Union

3 ◉ 12 — Azam FC

3 ◉ 12 — Namungo

4 ◉ 14 — Simba SC

Timu zilizofungwa magoli mengi;

1 ◉ 32 — Mtibwa sugar

2 ◉ 24 — KMC

3 ◉ 22 — Mashujaa FC

4 ◉ 20 — Singida Fountain Gate

5 ◉ 19 — Ihefu

Timu zenye goal deference nzuri;

◉ +31 — Young Africans

◉ +26 — Azam FC

◉ +17 — Simba SC

◉ +01 — Coastal Union

◉ +01 — Namungo FC

Timu zilizotoa sare chache;

◉ 1 — Young Africans

◉ 2 — Azam FC

◉ 2 — Mtibwa Sugar

◉ 3 — Simba SC

◉ 4 — Dodoma Jiji

Timu zilizopoteza mechi chache;

◉ 1 — Young Africans

◉ 1 — Simba SC

◉ 2 — Azam FC

◉ 4 — KMC

◉ 5 — Coastal Union

Timu zilizopoteza mechi nyingi;

◉ 11 — Mtibwa sugar

◉ 09 — Mashujaa FC

◉ 07 — JKT Tanzania

◉ 07 — Ihefu

◉ 07 — Dodoma jiji

Vinara wa magoli;

⚽ 10 — Aziz Ki

⚽ 8 — Maxi Nzengeli

⚽ 8 — Feisal Salum

⚽ 8 — Jean Baleke

⚽ 7 — Prince Dube

⚽ 7 — Waziri Junior

⚽ 7 — Marouf Tchakei

⚽ 6 — Pacome Zouzoua

⚽ 6 — Mudathir Yahya

Vinara wa assists;

6 — Kouassi Yao

6 — Kipre Junior

5 — Impiri Mbombo

4 — Nickson Kibabage

4 — Luis Miquissone

4 — Feisal Salum

4 — Shomari Kapombe

4 — Awesu Awesu

4 — Lusajo Mwaikenda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live