Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za Nkunku mhh!

Christopher Nkunku Lll Christopher Alan Nkunku

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Kimataifa wa Ufaransa ambaye anakipiga katika kikosi cha RB Leipzig Christopher Alan Nkunku mwenye umri wa miaka 25 hizi ni takwimu zake kwenye mechi 176 alizocheza ndani ya kikosi cha RB Leipzig.

▫️ Mechi alizocheza - 172

▫️ Magoli aliyofunga - 70

▫️ Pasi za usaidizi wa goli - 56.

Christopher Nkunku ni moja kati ya wachezaji ambaye saini yake inahitajika sana na klabu ya Chelsea ya England ambapo klabu hiyo imeshathibitisha kukamilisha usajili wa mchezaji huyo akitokea klabu ya RB Leipzig.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: