Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za Mohamed Salah mchezo dhidi ya Malawi

Salah Vs Malawi Mohammed Salah

Sat, 25 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Timu ya Taifa ya Misri ikiichapa Malawi mabao 2-0 michezo ya kuwania kufuzu AFCON2023, Mohamed Salah alikuwa na takwimu nzuri dhidi ya Malawi;

Dakika alizocheza 90

Bao 1

Pasi ya bao 1

Kugusa mpira x 64

Pasi sahihi 53

Pasi muhimu 3

Crosses 5

Mashuti yaliyolenga goli 2

Chenga zilizofanikiwa 2

Mipira ya kugombania aliyoshinda 4

Mipira ya juu ya kugombania aliyoshinda 1

Faulo alizochezewa 1

Mchezaji wa pili kufunga mabao 50 katika historia ya timu ya taifa la Egypt baada ya Hossam Hassan (68).

Takwimu za Mohamed Salah tangu alipoanza kuichezea timu ya taifa ya Egypt

Mechi 86

Dakika alizocheza 7444

Mabao 50

Pasi za mabao 27

Chanzo: www.tanzaniaweb.live