Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za Karim Adeyemi zatamanisha vigogo Ulaya

Karim Adeyemi.jpeg Kinda Karim Adeyemi

Mon, 20 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Karim David Adeyemi katika mashindano yote akiwa Borrussian Dortmund kabla ya ligi kusimama kupisha fainali za michuano ya kombe la dunia.

michezo 18 mabao 2 pasi za mabao 0

Karim Adeyemi katika mashindano yote akiwa na Borrussian Dortmund tangu ligi kurejea baada ya kumaliza kwa fainali za kombe la dunia.

michezo 6 mabao 4 pasi za mabao 2 amehusika katika mabao 6

Karim Adeyemi (miaka 21) katika Bundesliga msimu huu hadi sasa

michezo 16

ameanza michezo 12

dakika alizocheza 805

mabao 3

pasi za mabao 2

kuhusika katika bao kila baada ya dakika 161 dakika kwa kila bao 268

Chanzo: www.tanzaniaweb.live