Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za Fei Toto kwa misimu minne zinatisha

Fei Toto 9 Goals Takwimu za Fei Toto kwa misimu minne zinatisha

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Takwimu za kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' katika misimu yake minne ya mwisho kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara zinatisha;

◍ 2020/21 (Yanga SC)

◉ 18 matches

◉ 5 goals

◉ 0 assists

◍ 2021/22 (Yanga SC)

◉ 26 matches

◉ 6 goals

◉ 5 assists

◍ 2022/23 (Yanga SC)

◉ 15 matches

◉ 6 goals

◉ 2 assists

◍ 2023/24 (Azam FC)

◉ 15 matches

◉ 11 goals

◉ 05 assists

Akiwa katika kiwango bora kabisa msimu huu ameshapachika kambani zaidi ya mabao 10 hadi sasa, huku ikiwa ni mara yake ya kwanza kabisa kufanya hivyo kwenye msimu mmoja wa Ligi Kuu ya Tanzania bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live