Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takwimu za Duke Abuya hizi hapa

Abuya Mfd Takwimu za Duke Abuya hizi hapa

Fri, 19 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga Sc imemsajili wa kiungo mshambuliaji, Duke Abuya kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Singida Black Stars.

Abuya mwenye umri wa miaka 30, raia wa Kenya anakuwa mchezaji wa sita kutinga Jangwani kwenye dirisha hili la usajili.

Takwimu zake; ◉ Kuzaliwa ›› 1994 ◉ Uraia ›› Kenya ◉ Nafasi ›› Winger | Midfielder.

Abuya alicheza mechi yake ya kwanza (Debut) timu ya Taifa tarehe 28 Julai, 2019

◉ 12 - Mechi alizocheza Timu ya Taifa ya Kenya ◉ 02 - Mabao aliyofunga.

Duke Abuya msimu wa 23 | 24 ◉ 07 - Mabao aliyofunga ◉ 05 - Assists (4 NBCPL)

Mechi zake za mwisho kufunga goli na ku-assist katika mashindano yote.

◉ Kenya 1 - 1 Burundi ›› ⚽ June (7) ◉ Ihefu 2 - 0 Namungo ›› ⚽ ◉ Ihefu 1 - 1 Simba SC ›› ⚽ ◉ Ihefu 1 - 0 KMC ›› Assist

◉ Singida 3 - 2 Namungo ›› ⚽ ◉ Singida 3 - 0 Arusha city ›› ⚽ ◉ Singida 4 - 1 JKU (CAF) ›› ⚽

Baadhi ya vilabu alivyopita:

Singida Black Stars - Tanzania Singida Fountain Gate - Tanzania Kariobangi Sharks - Kenya Nkana FC - Zambia Police FC - Kenya.

Duke Abuya ni kiraka anacheza nafasi nyingi uwanjani; ◉ Wing zote mbili ◉ Kiungo mshambuliaji ◉ Kiungo mzuiaji (DM).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live