Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tajiri mpya Man United aanza kazi

Joshua Zirkzee Joshua Zirkzee

Mon, 24 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United wapo kwenye mazungumzo na wakala wa Joshua Zirkzee juu ya kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo baada mazungumzo yao na klabu ya Bologna Kwenda vizuri.

Klabu ya Manchester United wapo kwenye mazungumzo na wakala wa Joshua Zirkzee juu ya kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo baada mazungumzo yao na klabu ya Bologna Kwenda vizuri. Kama mazungumzo hayo yataaenda vizuri United watalazimika kutoa Euro milioni 40 kwa ajili ya kuinasa Saini ya Mholanzi huyo mwenye miaka 23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live