Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tajiri Man United aanza kushusha vyuma

Sfertju Tajiri Man United aanza kushusha vyuma

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jason Wilcox ni Mkurugenzi wa Ufundi mpya wa Manchester United . Anajiunga na Man United akitokea Southampton na kabla ya hapo alikuwa mkuu wa Academy wa Manchester City

Mazungumzo kuhusu Dan Ashworth nayo yanaendelea kutua United kuwa Mkurugenzi wa Michezo akitokea Newcastle United

Kazi yake kubwa itakuwa kwenye Usajili , Kuipa timu utambulisho wake , Academy , na pia kutengeneza mipango ya baadae akishirikiana na Wakurugenzi wengine .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live