Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taji la mfalme wa Chamazi lina mshindani

Nado Azam Ns Iddy Nado

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabao 3 tu ya Iddi Selemani 'Nado' kwenye ligi ya NBC yamewapa Azam FC alama 9 mpaka sasa msimu huu kuelekea kwenye mbio za ubingwa pale pale Chamazi...

Juzi dhidi ya Geita Gold kapiga bao la ushindi dakika ya 84 na kwenye mechi dhidi ya JKT Tanzania pia alipiga bao dakika hiyo hiyo ya 84 bila kusahau bao la usiku mkubwa dhidi ya Singida Big Stars mwanzoni mwa msimu...

Kwaiyo wakati Mudathir akitawazwa kama mfalme wa Chamazi, Nado anasema 'subirini kidogo kwanza' na yeye yumo japo havumi... Taji la Mfalme wa Chamazi lisivishwe bado.. Underrated...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live