Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taji la EPL lamuweka Foden katika vitabu vya rekodi EPL

Foden Phillll Taji la EPL lamuweka Foden katika vitabu vya rekodi EPL

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Manchester City Phil Foden ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kushinda mataji Sita ya England Premier League.

Foden ameshinda mataji hayo akiwa na Man City kama ifuatvyo;

2017/18

2018/19

2020/21

2021/22

2022/23

2023/24

Chanzo: www.tanzaniaweb.live