Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars yawasili Algeria, ni kufa au kupona

Stars Algers.jpeg Kikosi cha Taifa Stars chawasili Algeria

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kimewasili Annaba, Algeria tayari kwa mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria utakaochezwa Septemba 7, 2023.

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kimewasili Annaba, Algeria tayari kwa mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria utakaochezwa Septemba 7, 2023. Kikosi cha Taifa Stars kiliweka Kambi Tunisia kikijiandaa na mchezo huo utakaoamua hatma yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live