Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars yalazimishwa sare na Sudan Saudi Arabia

Taifa Stars Saudia Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza mchezo dhidi ya Sudani Oktoba 15

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetoa sare ya 1-1 na Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa Jana Jumapili Uwanja wa King Fahd Sports City mjini Ta'if, Saudi Arabia.

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetoa sare ya 1-1 na Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa Jana Jumapili Uwanja wa King Fahd Sports City mjini Ta'if, Saudi Arabia. Sudan ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wa Al Hilal, Musab Ahmed Alsharif Eisa dakika ya saba, kabla ya kiungo wa Azam FC, Sospeter Israel Bajana kuisawazishia Tanzania dakika ya 40.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live