Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars watua kibabe Dar

Taifa Stars Watua Kibabe Dar.jpeg Taifa Stars watua kibabe Dar

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Taifa Stars kimerejea nchini Alfajiri ya leo kikitokea nchini Azerbaijan kilipokwenda kushiriki mechi za Kimataifa za Kirafiki za FIFA Series.

Kikosi cha Taifa Stars kimerejea nchini Alfajiri ya leo kikitokea nchini Azerbaijan kilipokwenda kushiriki mechi za Kimataifa za Kirafiki za FIFA Series. Taifa Stars ikiwa nchini humo ilipoteza 0-1 kwenye mchezo dhidi ya Bulgaria na ikashinda 3-0 dhidi ya Mongolia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live