Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars watolewa kiume Afcon

Taifa Stars Link Taifa Stars watolewa kiume Afcon

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetolewa kiume baada ya kutoka sare dhidi ya Congo DRC.

Stars walikuwa wakitafuta tiketi ya kufuzu hatua ya 16 Bora wakiwa na alama mbili katika kundi F lakini hata hivyo bahati haikuwa yao, wamemaliza kundi wakiwa na alama 2.

Hivyo katika kundi lao, Stars wamelingana alama na Zambia ambao nao wametolewa jioni ya leo baada ya kukubali kichapo cha 1-0 dhidi ya Morocco.

Katika kundi lao, Morocco wanapita wakiwa na alama 7, Congo nao wakifuatia wakiwa na alama 4, Tanzania na Zambia wakitolewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live