Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars leo ni kufa au kupona

Taifa Starssss Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars"

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taifa Stars leo Alhamisi ni kufa au kupona tu wakati itakapokuwa kwenye kibarua kizito ugenini dhidi ya Algeria mchezo wa kuwania kufuzu AFCON mwakani.

Hakuna namna zaidi ya Stars kupata sare au kushinda. Nyota wa Stars wanapaswa kupambana kwa machozi, jasho na damu kuhakikisha hilo linatimia.

Kila la kheri wapambanaji

Chanzo: www.tanzaniaweb.live