Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars kuweka kambi Misri

Taifa Stars DUWA 1140x640 Taifa Stars kuweka kambi Misri

Tue, 26 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kuweka kambi nchini Misri katika Jiji la Cairo kabla ya kuelekea nchini Ivory Coast kwaajili ya mashindano ya AFCON mapema mwezi January.

Stars ikiwa nchini Misri inatarajiwa kucheza mchezo mmoja wa kirafiki ili kuona kiwango ambacho timu hiyo imefikia

Mchezo wa kwanza wa Taifa Stars kwenye michuano ya AFCON unatarajiwa kipigwa January 17, 2024, dhidi ya timu ya Taifa ya Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live