Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars kubabidhiwa milioni 20 na Serikali

Aef Stars Taifa Stars kubabidhiwa milioni 20 na Serikali

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya wachezaji wa zamani wa timu ya taifa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo wa soka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Wachezaji hao na wadau wamekutana viwanjani hapa katika hafla ya kuikabidhi fedha Taifa Stars baada ya kufuzu fainali za Mataifa Afrika nchini Ivory Coast 2024.

Fedha hizo zitakabidhiwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live