Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars kuanza na Morocco AFCON 2023

Rais Samia Atoa Mil. 500 Taifa Stars Kufuzu AFCON.jpeg Taifa Stars kuanza na Morocco AFCON 2023

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa kutupa karata yake ya kwanza kwenye fainali za mataifa ya Afrika 2023 zinazofanyika January, 2024 huko Ivory Coast dhidi ya Morocco January 17.

Stars imepangwa katika kundi F sambamba na Timu za Morocco, DR Congo na Timu ya Tafa ya Zambia.

Ratiba ya michezo mingine.

January 17, 2024.

17:00 Morocco vs Tanzania

20:00 DR Congo vs Zambia

January 21, 2024.

14:00 Morocco vs DR Congo

17:00 Zambia vs Tanzania

January 24, 2024.

20:00 Tanzania vs DR Congo

20:00 Zambia vs Morocco

Kwa hesabu za kawaida hapa tunachukua point tatu (3) kwenye mchezo upi ? Tabiri

Chanzo: www.tanzaniaweb.live