Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars ijayo itakuwa tishio

Stars Ushindi 3 0 Taifa Stars ijayo itakuwa tishio

Fri, 29 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Andiko la leo linawahusu nyota ambao wameshikilia kesho ya soka la nchi yetu lakini ambao bado wanakiwasha hapa hapa kwenye ligi ya nyumbani.

Wapo baadhi ambao nafasi zao vikosini zimekuwa finyu lakini kila wakipata nafasi unaona kuwa wanayo hiyo talent kubwa ila wanachohitaji ni makuzi sahihi ili nchi ije ifaidi vipaji vyao.

Hawa hapa baadhi ya nyota ambao bado ni vijana wadogo lakini tayari wanaonekana kukua siku baada ya siku.

Raheem Shomari- KMC FC

Pascal Msindo- Azam FC

Ladack Chasambi- Simba SC

Shekhan Hamis- Yanga SC

Zidane Serili- Dodoma Jiji

Lameck Lawi- Coastal Union

Yona Amos- Tanzania Prisons

Samson Mwaituka- Tanzania Prisons.

Hawa ni baadhi tu lakini wapo wengi ambao wanahitaji kupata nafasi ya kukua na kuonyesha uwezo wao.

Hii ni kwa faida ya soka letu kesho na keshokutwa.

Nani unamuona akiwa na “carrier” bora sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live