Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taifa Stars hesabu kali kufuzu AFCON

Taifa Stars Wakubwa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars"

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Septemba 7-2023 Tanzania watakuwa na mchezo wa kufu kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Algeria (ugenini).

kimahesabu Tanzania anahitaji alama moja tu ili afuzu fainali hizi zitakazopigwa Ivory coast.

Isipopatikana alama hiyo nafasi ya kufuzu itawezekana endapo Uganda akipoteza mbele ya Niger au akipata sare.

Mpaka sasa ikiwa umesalia mchezo mmoja kwa kila timu kwenye kundi F msimamo upo kama ifuatavyo.

Algeria alama 15

Tanzania alama 7

Uganda alama 4

Niger alama 2

Serikali kupitia wizara ya michezo iliahidi kiasi cha shilingi milioni 500 endapo timu itafuzu michuano hiyo mikubwa ngazi ya taifa barani Afrika.

Mbali na ahadi hiyo Mh.Hamisi Mwinjuma (naibu waziri wa michezo na sanaa) hivi karibuni ameweka wazi kuwa tayari wameanza kukaa vikao kuhakikisha timu inafuzu michuano hiyo ambayo mara ya mwisho Tanzania kushiriki ilikuwa 2019 kule Misri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live