Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taibi Lagrouni ndiye mrithi wa Prof. Helmy Yanga

Helmy Tresss Taibi Lagrouni ndiye mrithi wa Prof. Helmy Yanga

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa viungo wa Yanga, Prof. Helmy Gueldech huenda asirejee tena ndani ya benchi la Yanga na tayari amewaaaga baadhi ya mastaa wa Yanga kwamba hatarejea.

Yanga tayari walishakamilisha mchakato wa kumpata kocha mpya wa viungo ambaye atakuja kuchukuwa nafasi ya Helmy ambaye baadae nitawaletea Jina lake na alipotoka lakini amepita timu kubwa Afrika.

Taibi Lagrouni ndiye kocha mpya wa viungo ambaye anatajwa kuja kuchukuwa nafasi ya kocha Helmy Gueldech ndani ya Yanga.

Taibi tayari ameshatua nchini kwaajili ya kuanza kazi ndani ya Avic Town kwaajili ya Pre Season. Taibi amewahi kufanya kazi na Florent Ibenge ndani ya RS Berkane hivyo anauzoefu na soka la Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live