Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tabora wamwagiwa noti kuimaliza JKT Tz

Tabora United Milioni 50 Tabora wamwagiwa noti kuimaliza JKT Tz

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameahidi kiasi cha Tshs 50m endapo Tabora Utd itafanikiwa kuiondosha JKT Tanzania kwenye mechi mbili za kuepuka kushuka daraja.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameahidi kiasi cha Tshs 50m endapo Tabora Utd itafanikiwa kuiondosha JKT Tanzania kwenye mechi mbili za kuepuka kushuka daraja. Mechi ya kwanza itapigwa leo Juni 4 Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Marudiano ni Juni 8 Isamuhyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live