Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tabora United wathibitisha usajili wa Zidane

Nafumu Patrick Lembo Anfumu ‘Zidane’

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Klabu ya Tabora United imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Patrick Lembo Anfumu ‘Zidane’.

Klabu ya Tabora United imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Patrick Lembo Anfumu ‘Zidane’. Taarifa ya Nyuki wa Tabora kwa umma imesema:- “Karibu kwenye familia kubwa ya Nyuki wa Tabora, Patrick Lembo Anfumu “Zidane. Nyuki wa Tabora tunategemea mengi mazuri toka kwako”.

Chanzo: Mwanaspoti
Related Articles: