Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tabora United wamuaga Balozi Buriani

Tabora United Www Tabora United wamuaga Balozi Buriani

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tabora United imemtakia heri aliyekuwa Mkuu wa mkoa huo Balozi Batilda Buriani ambaye Kwa Sasa amehamishiwa mkoa wa Tanga.

"Tunampongeza Kwa kuendelea kuaminiwa na Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunampa shukrani zetu za dhati Kwa mchango wake mkubwa aliotupatia katika kipindi chote alichouongoza mkoa wetu

Klabu yetu inamtakia Kila la heri katika Majukumu yake mapya" Christina Mwagala Ofisa habari Tabora United

Chanzo: www.tanzaniaweb.live