Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tabora United mambo ni vurugu

Tabora Tizi Tabora United mambo ni vurugu

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mpya wa Klabu ya Tabora United, Denis Laurent Goevec ameondoka klabuni hapo baada ya kutoridhishwa na mazingira ya kazi. Denis aliamini Mazingira ya Tabora ni Kama ilivyo Dar es Salaam.

Aidha, CEO wa Klabu hiyo Thabithy Kandoro ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake Baada Ya Mambo Ndani ya Timu Kuto Kwenda Katika mpangilio Mzuri wa Kumfanya Afanye Majukumu yake.

Pia baadhi ya wachezaji wamegomea Mazoezi wakishinikiza kulipwa madeni yao Wanayo Yadai kwa Muda Sasa.

Muda wowote Masoud Djuma Irambona anaweza akatangazwa kama kocha mkuu wa Tabora United, Masoud Djuma ambaye hapo awali alienda Tabora United kama msaidizi wa Kocha Denis Laurent ambaye anaondoka klabuni hapo kutokana na kutoridhishwa na Mazingira ya Kazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live