Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taarifa ya TFF kuhusu uhakiki wa leseni za Makocha wageni

TIEFU EFUU TFF Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Fri, 10 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa tahadhari kwa vilabu na makocha kuhusiana na kupata leseni za kufundisha Mpira wa miguu nchini Tanzania.

Katika taarifa yake TFF, imesema hakuna Kocha atakaeruhusiwa kukaa kwenye benchi bila kuwa na Lesni inayotambuliwa ama kutolewa na shirikisho hilo.

Kwa sasa Fomu za maombi ya leseni zinapatikana katika tovuti ya TFF.

Sehemu ya taarifa ya TFF

Chanzo: www.tanzaniaweb.live