Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taarifa mpya kutoka Yanga mapema leo

Mkunde, Mauya Wakalia Kuti Kavu Yanga.jpeg Taarifa mpya kutoka Yanga mapema leo

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi.

Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa jezi za Yanga, amesema uzi huo ni bora zaidi ya ule waliotumia kwenye kombe la Shirikisho msimu uliopita.

Sheria amejipambanua kwa ubora wa kazi yake kwani tangu aanze kubuni jezi za Yanga hajawahi kuwaangusha Wananchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: