Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TUZOZATFF: Mayele Mchezaji Bora Ligi Kuu 2022/23

Mayele Caf.jpeg Fiston Mayele

Mon, 12 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amenyakuwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23.

Mayele amechukua Tuzo hiyo akimpiku mpinzani wake wa karibu Saido Ntibazonkiza wa Simba SC, Bruno Gomes wa Singida BS, Mzamiru Yassin na Clatous Chama wote wa Simba na Golikipa Djigui Diarra.

Tuzo za Mayele zimepokelewa na mwakilishi wake ambaye ni mkewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: