Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TUZOCAF: JKT Queens kuwania Klabu Bora ya Mwaka

JKT Queens Vs Abdijan Kikosi cha JKT Queens

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka Tanzania ni JKT Queens imetajwa kuwania tuzo ya klabu bora ya mwaka Afrika 2023 upande wa wanawake.

Tuzo hizo za CAF zitatolewa nchini Morocco Desemba 11 huku upande wa klabu wanaume Tanzania ikiwakilishwa na Yanga.

Tazama Wapinzani wa JKT Queens hapa Chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live