Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TUZO ZA BMT: Yanga Timu Bora ya Wanaume ngazi ya Klabu

Yanga Bingwa At 17 TUZO ZA BMT: Yanga Timu Bora ya Wanaume ngazi ya Klabu

Mon, 10 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imefanikiwa kushinda tuzo ya Timu bora ya Kiume ya Mwaka 2023 kwa ngazi ya vilabu kwenye tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT).

Klabu ya Yanga imefanikiwa kushinda tuzo ya Timu bora ya Kiume ya Mwaka 2023 kwa ngazi ya vilabu kwenye tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT). Ndani ya mwaka huo Yanga Sc ilitwaa Ubingwa Ligi kuu, Ubingwa FA, Ngao ya Jamii sambamba na kufanikiwa kufika fainali ya kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live