Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe yawachakaza Waarabu AFL

TP Mazembe Official.jpeg TP Mazembe yawachakaza Waarabu

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TP Mazembe imetanguliza mguu mmoja mbele kwenye nusu fainali African Football League baada ya kuichapa Esperance ya Tu-nisia bao 1-0 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Bao la Mazembe limefungwa na Cheick Fofana dakika ya 11 na sasa wataenda nayo Tunisia kwenye mechi ya marudiano Oktoba 25

Pale Nigeria saa 3:00 usiku kinawaka pia wakati Enyimba watakapovaana na Wydad Casablanca ya Morocco.

Mazembe inakuwa ni timu ya pili kupata ushin-di kwenye AFL ambapo jana Mamelodi Sun-downs ilipata ushindi ugenini wa mbao 2-0 na Petro De Luanda uwanja wa Estádio 11 de Novembro, Angola.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live