Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe yathibitisha kumpeleka Baleke Yanga

Baleke Yanga Mszhkz TP Mazembe yathibitisha kumpeleka Baleke Yanga

Tue, 23 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DR wametangaza rasmi kumuachia mshambuliaji wao Jean Baleke kwa kwenda Yanga SC kwa mkopo.

Kupitia Website yao rasmi, Mazembe wameweka wazi kuwa Baleke (23) alicheza Simba kwa Mkopo, Al Ittihad ya Libya kwa Mkopo na sasa amejiunga tena na Yanga kwa mkopo.

Hivyo Baleke kwa sasa ni ruksa kutambulishwa kwenye ukurasa rasmi wa Klabu ya Yanga ukiachana na yeye alivyojitambulisha kwa kufunga bao dhidi ya Augsburg.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: