Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe yapokea kichapo mbele ya US Monastir

Mazembe Lost TP Mazembe yazidi kujichimbia shimo Kombe la Shirikisho Afrika

Wed, 8 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TP Mazembe imekubali kipigo cha pili mfululizo dhidi ya US Monastir ikiwa ni kipigo cha tatu mfululizo kwenye hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika.

Mazembe ambayo ipo kundi D sambamba na Timu za US Monastir, Yanga na Bamako mpaka sasa imecheza michezo minne na kukusanya alama tatu pekee.

Mazingira yanazidi kuwa magumu kwa Mazembe kupenya hatua ya Robo Fainali ya Michuano hiyo baada ya leo Machi 8 kukubali kipigo cha bao 1-0.

MSIMAMO KUNDI D

Us Monastir 10

Yanga SC 4

TP Mazembe 3

Real Bamako 2

Yanga na Real Bamako wapo Uwanjani muda huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live