Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe watua Tanzania kuwakabili Esperance

TP Mazembe Official.jpeg TP Mazembe watua Tanzania kuwakabili Esperance

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasili Tanzania kwa ajili ya mchezo wake wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Soka Afrika, AFL dhidi ya Esperance ya Tunisia utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa siku ya Jumapili, Oktoba 22, 2023.

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasili Tanzania kwa ajili ya mchezo wake wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Soka Afrika, AFL dhidi ya Esperance ya Tunisia utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa siku ya Jumapili, Oktoba 22, 2023. Mazembe wameamua kutumia Benjamin Mkapa kama uwanja wake wa nyumbani kutokana na Serikali ya Congo kuzuia vifaa vya kurushia matangazo ya mchezo huo kuingia nchini humo hivyo Mazembe ikashindwa kutumia uwanja wake wa TP Mazembe, jijini Lubumbashi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live