Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe watinga kanisani kuomba ushindi Robo Fainali

Mazembe TP.jpeg TP Mazembe watinga kanisani kuomba ushindi Robo Fainali

Thu, 28 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya TP Mazembe wameenda kanisani kwa ajili ya kusali kufuatia mchezo wao wa Robo fainali dhidi ya Petro Atletico De Luanda.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa siku ya jumamosi katika dimba la Stade TP Mazembe majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Je timu unayoishabikia inafanyaga ibada?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live