Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe wanafanyiwa figisu Congo DR

TP Mazembe Official.jpeg TP Mazembe wanafanyiwa figisu Congo DR

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya TP Mazembe wamejikuta wakishindwa kufuzu kucheza Kombe la Congo Cup mwaka huu kwa kile kinachodaiwa kuwa wamekiuka kanuni kwa kusogeza mchezo wao mbele waliokuwa wacheze dhidi ya FC Nouvelle siku ya Jumatano mbali na kujikuta wakishindwa kufuzu lakini pia wamepigwa faini ya USD $500.

TP Mazembe walicheza mchezo wa Ligi siku ya Jumanne iliyopita dhidi ya Don Bosco lakini pia ratiba ilionyesha kuwa wanapaswa kucheza tena siku ya Jumatano dhidhi ya FC Nouvelle yaan masaa kadhaa tu tena wasafiri mpaka Bomoko katika hatua ya awali ya kombe ilo.

Tp Mazembe waliomba mchezo upelekwe mbele mpka siku ya Alhamisi lakini shirikisho liligomea ombi lao na kuwapatia FC Nouvelle ushindi wakidai TP Mazembe wamekiuka kanuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live