Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe waanza safari kuja Tanzania

Mazembe Trs TP Mazembe waanza safari kuja Tanzania

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya wachezaji na viongozi wa Klabu ya TP Mazembe ambao wanakuja Tanzania kutoka DR Congo kuja kucheza mchezo wao wa kwanza wa michuano ya African Football League ambao utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.

TP Mazembe inatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Esperance De Tunis ya nchini Tunisia ambao utapigwa Jumapili, Oktoba 22, 2023.

Mchezo wa kwanza na wa ufunguzi wa michuano hivyo utapigwa keshokutwa kati ya Simba na Al Ahly ya Misri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live