Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TP Mazembe sasa kushirkiana na Simba SC

Katumbi2 Scaled TP Mazembe sasa kushirkiana na Simba SC

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mmiliki wa Klabu ya TP Mazembe, Moise Katumbi amesema tumeingia makubaliano na Klabu ya Simba ili kushirikiana katika mambo mbalimbali yanayohusu mpira.

Katumbi amesema makubaliano ambayo wanayo na Simba ni katika utawala, uchumi na kuuziana wachezaji.

Ikumbukwe kuwa msimu uliopita Simba waliofanya biashara na TP Mazembe ya kuuziana mchezaji Jean Baleke ambaye ameleta chachu kubwa katika mpira wetu kutokana na uwezo wake wa kufumania nyavu

Moise ameishukuru Simba kwa mapokezi yao toka wamefika hapa nchini ambayo watakuwa na mchezo wa (AFL) dhidi ya Es Tunis ya Tunisia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live