Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TOP 3: Hatimae CAF imetaja wanaowania tuzo za CAF 2017

Mon, 18 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Shirikisho la soka barani Afrika CAF leo Jumatatu ya December 18 2017 limetangaza finalist ya wanaowania tuzo za CAF kwa mwaka 2017 ambapo CAF leo imetaja TOP 3 ya wanaowania tuzo hizo katika vipengele vyote.

TOP 3 timu tatu zinazowania tuzo ya timu bora ya taifa kwa upande wa wanawake kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/hUpcXWYIzR

— AyoTV (@AyoTV) December 18, 2017

TOP 3 hizi ndio club tatu zinazowania tuzo ya club bora kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/puv0KFWsTm

— AyoTV (@AyoTV) December 18, 2017

TOP 3 ya timu tatu za taifa zinazowania tuzo ya timu bora ya taifa kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/2gK6iLIFNT

— AyoTV (@AyoTV) December 18, 2017

TOP 3 ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora Afrika kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/4V34lgjbrA

— AyoTV (@AyoTV) December 18, 2017

TOP 3 wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora chipukizi kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/t5RyhO1DO8

— AyoTV (@AyoTV) December 18, 2017

TOP 3 wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2017 kwa upande wa wanawake #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/MMDC7yGP2x

— AyoTV (@AyoTV) December 18, 2017

TOP 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2017 #MillardAyoUPDATES VIA #CAF pic.twitter.com/O2cXwoTsHj

— AyoTV (@AyoTV) December 18, 2017

Mstaafu Kikwete na Zitto Kabwe baada ya Zanzibar kuingia fainali

Chanzo: millardayo.com