Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TImu tano ambazo zimewahi kubeba ubingwa bila kufungwa Ulaya

Bayer Leverkusen And The Bundesliga Title TImu tano ambazo zimewahi kubeba ubingwa bila kufungwa Ulaya

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu tano ambazo zimetwaa ubingwa bila ya kufungwa mechi hata moja katika historia ya Ligi Tano kubwa za Ulaya.

AC Milan, msimu wa 1991/92 - imeshinda mechi 22 na sare mechi 12 katika mechi 34.

Arsenal, msimu wa 2003/04 - imeshinda mechi 26 na sare mechi 12 katika mechi 38.

Juventus, msimu wa 2011/12 - imeshinda mechi 23 na sare mechi 15 katika mechi 38.

Leverkusen msimu wa 2023/24 - waneshinda mechi 28 na na kutoka sare mechi 6 katika mechi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live