Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MAPINDUZI CUP 2021 ZATAJWA

Capture 572?fit=427%2C340 TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MAPINDUZI CUP 2021 ZATAJWA

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Sanaa na Utamaduni Omar Hassan (King) ametaja Orodha ya timu tisa (9) zilizothibitishwa kushiriki katika Mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2021 zipo 4 kutokea Zanzibar na 5 kutokea Tanzania bara.

Timu hizo amezitaja wakati alipokua akizungumza na Waandishi wa Habari za Michezo kuhusu Mashindano ya Kombe hilo akiwa huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Jijini Zanzibar.

1. Mlandege. 2. Malindi. 3. Jamhuri. 4. Chipukizi. 5. Simba. 6. Yanga. 7. Namungo. 8. Azam. 9. Mtibwa.

Chanzo: zanzibar24.co.tz