Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TFFAWARDS2022: Nani ni nani usiku wa leo?

TFF TUZO Kaa tayari kwa utoaji wa Tuzo za TFF 2021/2022

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hafla ya utoaji wa Tuzo za TFF kwa msimu wa 2021/2022 inafanyika usiku huu katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.

Makundi matatu ya tuzo kushindaniwa katika upande wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL), Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL) na Kombe la Shirikisho (ASFC).

Jumla ya Tuzo zisizopungua 56 zinatarajiwa kushindaniwa usiku wa leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live