Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TFFAWARDS2022: Mayele anyakua tuzo ya goli bora la msimu

Mayele Goli Bora.jpeg Fiston Mayele

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Yanga raia wa Congo Fiston Mayele amenyakua tuzo ya goli bora la msimu Ligi Kuu bara 2021/2022.

Mshambuliaji wa Yanga raia wa Congo Fiston Mayele amenyakua tuzo ya goli bora la msimu Ligi Kuu bara 2021/2022. Goli la Mayele dhidi ya Biashara United ya Mara ndilo lililoshinda tuzo usiku huu katika hafla ya utoaji wa tuzo za TFF.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live