Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TFFAWARDS2022: Inonga anyakua tuzo ya beki bora

Inonga BAKA Henock Inonga

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa Simba SC, raia wa Congo Henock Inonga Baka amenyakua tuzo ya beki bora wa Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022.

Mlinzi wa kati wa Simba SC, raia wa Congo Henock Inonga Baka amenyakua tuzo ya beki bora wa Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022. Inonga amebeba tuzo hiyo akiwapiku mabeki wa Yanga Djuma Shaban na Bakari Mwamnyeto ambao alikuwa akiwania nao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live