Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF yawafungulia mashtaka Eng. Hersi na Haji Manara

Manara Hesri Sdd TFF yawafungulia mashtaka Eng. Hersi na Haji Manara

Sun, 7 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TFF imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said & Haji Manara.

Manara anashtakiwa kwa kutoheshimu adhabu aliyopewa ya kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili.

Hersi anashtakiwa kwa kushindwa kuhakikisha Yanga inaheshimu uamuzi huo.

“Manara alifungiwa kujihusisha na shughuli yoyote ya mpira wa miguu lakini ameshindwa kutekeleza adhabu hiyo, naye Hersi amekwenda kinyume na katiba ya TFF na Yanga,” imesema sehemu ya Taarifa hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live