Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF yatoa ratiba ya michezo timu za Taifa

Ratiba Taifa Ratiba Michezo ya Timu za Taifa

Fri, 1 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF wametoa ratiba ya Michezo ambayo timu zote za Taifa zinashiriki.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF wametoa ratiba ya Michezo ambayo timu zote za Taifa zinashiriki. Ratiba hiyo ni kwa Mwezi Oktoba na ni kuanzia michezo ya Kufuzu kwa Kombe la Dunia kule Qatar 2022, kufuzu Kombe Dunia chini ya Miaka 20, Kufuzu AFCON Kwa wanawake 2022 na ile ya COSAFA inayoendelea kule Afrika ya Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live